Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
Michezo

Timu ya kikapu ya Ufaransa yaandika historia kwa kutwaa kombe la ulaya

media Timu ya kikapu ya Ufaransa yaandika historia kwa kutwaa kombe la ulaya yahoo.fr.com

Timu ya taifa ya kikapu nchini Ufaransa, imetwaa Kombe la mpira wa kikapo katika mashindano ya Ulaya ikiwa ni mara ya kwanza katika Historia ya mchezo huo.

Vijana wa Les Blues waliishinda Litunia kwa vikapo 80 kwa 66 ikiwa ni tofauti ya vikapo 14, ambapo wataalamu wa mchezo huu wanasema ni tafauti kubwa.

Wachezaji nyota waliotamba katika mchezo huo ni pamoja na Boris Diaw, Nicolas Batum pamoja na Tony Parker alieteuliwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo ya mpira wa kikapo barani Ulaya.

Kulikuwepo na shaka upande wa Timu hiyo ya Ufransa, kwani walianza vibaya kwa kushindwa mara tatu katika mechi nane.

Lakini baadae vijana hao wa le Blues wamekamilisha kuwa  washindi wa michuano hiyo pale walipoanza kuinyuka Slovenia wenyeji wa michuano hiyo mbele ya mashabiki wake na baadae Uhispania bingwa mtetezi wa kombe hilo.

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana