sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Viongozi wa waandamanaji na wa kijeshi …
Luteni Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, mkuu wa baraza la kijeshi la Sudan katika Mkutano kwenye kijiji cha Aprag,tarehe juni 22 2019.
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 15/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka

Nchini Ufaransa, Waziri wa Mazingira, François de Rugy, ambaye anakabiliwa na kashfa ya matumizi makubwa ya bajeti ya serikali, ametangaza kuwa amewasilisha kwa Waziri Mkuu barua yake ya kujiuzulu leo tarehe 16 Julai, akibaini kwamba anakabiliwa na tuhuma za uzushi na kusema kuwa amefunguwa mashitaka dhidi ya tovuti ya Mediapart.

Habari mpya kabisa
 • DRC: Mgonjwa wa kwanza wa Ebola Goma afariki dunia
 • Kiongozi mkuu wa Irani Ali Khamenei aonya kuwa nchi yake "itaendelea" kupunguza ahadi zake
Mashariki ya Kati

Australia yatambua Jerusalem Magharibi kama makao makuu ya Israel

media Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison REUTERS/David Gray

Australia imetangaza kuwa inatambua Jerusalem Magharibi, kama mji mkuu wa Israel.

Tangazo hili limetolewa na Waziri Mkuu Scott Morrison ambaye hata hivyo amesema kuwa, nchi yake haitahamisha Ubalozi wake Jerusalem, had pale mkataba wa amani utakapopatikana kati ya Waisraeli na Wapalestina.

Aidha, Scott amesema nchi inadhamiria kutambua Mashariki mwa Jerusalem kuwa makao makuu ya Wapalestina.

Marekani ilikuwa ya kwanza kutambua Jerusalem kuwa mji Mkuu wa Israel na mwezi Mei, ilihamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv licha ya kushtumiwa kimataifa.

Kimataifa, Jerusalem haijawahi kutambuliwa kuwa mji mkuu wa Israel kwa mujibu wa makubaliano ya amani ya mwaka 1993, kati ya Israel na Palestina.

Israel imeendelea kusema Jerusalem ndio mji wake mkuu na umeendelea kujenga makaazi Mashariki mwa mji huo, hatua ambayo imeendelea kuikera Palestina.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana