Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Mashariki ya Kati

Makubaliano ya kusitisha mapigano Hodoidah yafikiwa

media Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika mkutano na waandishi wa habari unaohitimisha mazungumzo ya amani ya Yemen huko Rimbo, karibu na Stockholm, tarehe 13 Desemba 2018. TT News Agency/Pontus Lundahl via REUTERS

Pande zinazohasimiana nchini Yemen zimekubaliana kusitisha mapigano kwenye mji wa bandari wa Hodoidah, makubaliano ambayo Umoja wa Mataifa umesema yatasaidia kumaliza hali mbaya ya kibinadamu katika taifa hilo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesema waasi wa Huthi wamekubali kuondoka kwenye mji huo na kukubali pia kuachia maeneo matatu ya bandari ambayo yalikuwa kiini cha ustawi wa jamii ya Yemen.

Guterres ameongeza kuwa makubaliano haya ni hatua muhimu katika kuhakikisha amani ya kudumu inapatikana kwenye taifa hilo.

Katika makubaliano haya maeneo yote ya bandari yatakuwa chini ya askari wa eneo hilo ambao watakusanya mapato na kuyatuma katika benki kuu ya nchi hiyo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana