Hili limethibutishwa na jeshi la Saudi Arabia, linaloongoza operesheni dhidi ya waasi hao.
Waasi hao wanasafirishwa kwenda jijini Sanaa, na baadaye nchini Oman kupata matibabu zaidi.
Saudi Arabia na washirika wake wamekuwa wakishtumiwa kwa ukiukwai wa haki za binadamu katika vita vinvyoendelea nchi Yemen katika ya jeshi la serikali linaloungwamono na Saudi Rabaia na waasi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran.
Machafuko nchini Yemen yamesababisha vifo vya watu wengi na mamia kwa maelfu kulazimika kuyahama makazi yao.