Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Mashariki ya Kati

Iran yakaribisha mkataba kati ya Urusi na Uturuki kuhusu Idlib

media Le Premier ministre russe Vladimir Poutine (g) et son homologue turc Recep … Rais aw Urusi Vladimir Putin (kushoto) na mwenzake wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kutia saini mkataba kati ya nchi hizo mbili, tarehe 6 Agosti. (Photo : Umit Bektas/Reuters)

Iran imekaribisha mkataba kati ya Uturuki na Urusi kuhusumkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria, kituo cha Lebanoni cha Al Maïadine kimeripoti Jumanne wiki hii.

Kituo hicho kikimnikuu msemaji wa wizaraya mambo ya nje ya Iran, kimesema Iran inaungana na Urusi na Uturuki kwa mkataba huo.

Vladimir Putin na Recep Tayyip Erdogan walifikia mkataba siku ya Jumatatu kuhusu kuundwa kwa eneo lenye ambalo halitakiwi kuwepo na askari kutoka nchi yoyote ili kutenganisha vikosi vya serikali na waasi.

Eneo hili litaundwa katikati ya mwezi wa Oktoba na waasi wa "msimamo mkali", ikiwa ni pamoja na Al-Nusra Front, hawatahusishwa na watatakiwa kuondoka mara moja katika mkoa huo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana