Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
  • Korea Kaskazini yarejea kwenye muungano wa Korea mbili (Seoul)
Mashariki ya Kati

Eneo la mpakani kati ya Gaza na Misri lafunguliwa

media Le président égyptien Abdel Fattah al Sissi a demandé Wakazi wa Rafah awkijaribu kuingia nchini Misri kupitia barabara ndogo kati ya Ukanda wa Gaza na Misri iliyofunguliwa kwa agizo la Rais wa Misri Abdel Fattah al Sissi. REUTERS/Ibraheem Abu Mustafa

Rais wa Misri Abdel Fattah al Sissi ameagiza kufunguliwa kwa barabara ndogo ilio katika eneo la Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri katika kipindi chote hiki cha mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Watu milioni mbili wanaoishi katika eneo hili la pwani wamekua wakisumbuliwa kuingia nchini Misri kupitia barabara hiyo kutokana na ukosefu wa usalama, ambapo utawala wa Misri uanendelea kukakabiliana na waasi wa Kiislamu. Misri ilifungua eneo hili la mpakani kwa muda manmo mwezi Februari mwaka huu.

Hii itasaidia "kupunguza mzigo kwa ndugu zetu huko Gaza," Rais al Sissi ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Kando ya uzinduzi wa ubalozi mpya wa Marekani katika mji wa Jerusalem siku ya Jumatatu wiki hii, waandamanaji 52 wa Palestina, ikiwa ni pamoja na watoto sita, waliuawa na majeshi ya Israeli kwenye mpaka kati ya Ukanda wa Gaza na Israel, msemaji wa wizara ya afya ya Palestina ametangaza.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana