Pata taarifa kuu
DYRIA-USALAMA

Damascus yakumbwa na mashambulizi ya kujitoa mhanga

Takriban watu kumi na nane wamepoteza maisha siku ya Jumapili Julai 2 katika mashambulizi ya kujitoa mhanga yaliukumba mji wa Damascus ya Mashariki, mashambulizi mabaya tangu miezi katika kadhaa katika mji mkuu wa Syria.

A Damas, sur les lieux de l'attaque, ce 2 juillet 2017.
A Damas, sur les lieux de l'attaque, ce 2 juillet 2017. REUTERS/Omar Sanadiki
Matangazo ya kibiashara

Mabomu yaliokua yametegwa katika magari matatu yamekua yawalenga Jumapili asubuhi maafisa wa serikaliwaliokua wakielekea katikati mwa mji wa Damascus, Shirika la habari la serikali ya Syria la SANA na shirika la Haki za Binadamu nchini Syria (OSDH) wamearifu.

mabomu mawili miongoni mwa hayo yaliharibiwa na maafisa wa usalama karibu na mji huo, wakati ambapo mobu la tatu liliweza kufikia eneo la Tahrir Square, mashariki mwa mji mkuu, ambapo mshambuliaji wa kujitoa mhanga alilipua bomu lililokua lilitegwa katika gari lake.

"Watu kumi na nane walipoeza maisha," Mkurugenzi wa shirika la Haki za Binadamu OSDH, rami Abdel Rahmani, aliliambia shirika la habari la AFP. Alisema polisi saba wa vikosi vya usalama walio karibu na serikali pamoja na raia wa kawaida ni miongoni mwa watu hao waliofariki.

Katika mashambulizi hayo watu kumi na mbili walijeruhiwa, kwa mujibu wa OSDH.

"Baada ya kufuatilia magari madogo matatu, polisi ilifaulu kulipua mawili kwenye barabara inayoelekea uwanja wa ndege.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.