Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 13/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Mashariki ya Kati

Macron na Putin wazungumzia kuhusu Syria na Ukraine

media Rais wa Urusi Vladimir Putin (kushoto) na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron (kulia) katika mji wa Versailles, Mei 29. REUTERS/Philippe Wojazer

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macro na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin walikutana jana katika jitihada za kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.

Viongozi hao wamesema mazungumzo yao kuhusu maswala mbalimbali ikiwemo machafauko nchini Syria na Ukraine yamekuwa ya wazi.

Kuhusu Syria, rais Macron amesema wanatofatiana kuhusu nam na ya kutatua mzozo wa Syria, lakini serikali ya Ufaransa inaiunga mkono vita dhidi ya ugaidi.

Huu ulikuwa mkutano wa kwanza kati ya rais Macron na rais Putin.

Mataifa hayo yanaadhimisha pia miaka 300 ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana