Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 14/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 13/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Mashariki ya Kati

Trump atoa sera ya Marekani kuhusu suluhu kwa Israel na Palestina

media Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari kabla ya mkutano wao katika Ikulu ya Marekani Februari 15, 2017. REUTERS/Carlos Barria

Rais wa Marekani Donald Trump amesema, uongozi wake unaunga mkono uundwaji wa taifa moja kumaliza mzozo wa Israel na Palestina.

Trump amesema hili na kuonekana kubadilisha sera ya Marekani ya muda mrefu ya kutaka Israel na Palestina kuwa mataifa mawili tofauti yanayoishi kwa amani.

Donald Trump amesema pande zote mbili zitahitajika kuwa na maridhiamo, na kwamba angetaka Israel isitishe kidogo ujenzi wa makazi unaoendelea.

Kwa upande wake, bwana Netanyahu amesema Israel inapaswa ihakikishe kuwepo kwa usalama katika eneo linalokaliwa la Ukingo wa Magharibi.

Bwana Netanyahu pia amesema anaamini kwamba uongozi wa bwana Trump unatoa fursa ya kihistoria ya kubadilisha kile alichokiita kama kuwepo kwa wimbi la waislamu wenye msimamo mkali.

Rais Trump pia amemwambia mgeni wake kuwa, atahakikisha kuwa mkataba wa amani unapatikana.

Isreal na Palestina hazijazungumza tangu mwaka 2014.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana