Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Sehemu ya tatu ya Makala kuhusu kongamano la nne la idhaa za Kiswahili duniani
Ni Jumapili nyingine tunakutana katika Makala Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni, le parler francophone na Muziki, leo ninakuletea mazungumzo kuhusu ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili, ikiwa ni kauli mbiu ya kongamano la nne za idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika mkoani Mbeya Mwezi Machi. Na kwenye le parler francophone nitakuletea mradi wa Creation Afrika unaonadaliwa na Allliance francaise ya Nairobi14/04/202420:00 -
Kongamano la idhaa za kiswahili duniani, umuhimu wa kujifunza lugha ya Kiswahili
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na Msimamizi wa kituo cha radio China Kimataifa ambaye ni raia wa China kufahamu zaidi kwanini alivutiwa na swala la kujifunza lugha ya kiswahili, ni katika muktada wa kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika Mbeya nchini Tanzania. Kwenye Muziki utasikiliza wimbo wa mwanamuziki Lupman mwenye asili ya Burundi anaefanya kazi yake huko Sweeden.09/04/202419:57 -
Kongamano la nne la idhaa za kiswahili duniani "Tasnia ya habari na ubidhaishaji Kiswahili duniani"
Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambyo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Kongomano la nne la idhaa za Kiswahili duniani. Kwenye le Parler francophone nitakueleza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Idd Aziz kutoka nchini Kenya.31/03/202420:00 -
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa sehemu ya pili
Makala haya yameandaliwa na Florence Kiwuwa kwa ushirikiano na Ruben Lukumbuka.25/03/202419:45 -
Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa
Makala maalum ya changu chako chako changu inafanyika hapa Mombasa pwani ya Kenya katika luktadha wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya lugha ya kifaransa, inayofahamika Kama La Francophonie, ambapo Taasisi inayofundisha watu lugha hii na tamaduni za Ufaransa, Alliance Francaise ya Mombasa, imeandaa maadhimisho haya maalum kwa kuenzi namna ambavyo Francophonie inavyotia fora nchini DRC. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja akiwa Alliance francaise ya Mombasa20/03/202420:22 -
Historia ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani na namna ilivyosherehekewa mwaka huu wa 2024
09/03/202420:00 -
Maandalizi ya siku ya wanawake duniani ya March 08
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na mwanaharakati Florence Kiwuwa ambae pia ni mtangazaji wa RFI Kiswahili kuhusu maandalizi ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani.09/03/202419:47 -
Umuhimu wa kujifunza lugha mama na changamoto zake katika maisha ya kila siku
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anazungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza lugha Mama, wakati huu shirika la Umoja wa Mataifa la Sayansi na Utamaduni Unesco likiwa na wasiwasi wa kutokewa kwa zaidi ya lugha mama zaidi ya 3000.25/02/202420:03 -
Historia ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika CAN sehemu ya pili
Makala haya ni sehemu ya pili ya historia ya michuano ya mataifa bingwa barani Afrika CAN.24/02/202419:58 -
Historia ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika CAN sehemu ya kwanza
Karibu kuungana naye Ali Bilali katika Makala ya leo Changu chako chako changu, ambapo anakuletea historia ya kombe la mataifa ya afrika na atiba ya shughuli kutoka Alliance francaise za ukanda na kwenye muziki atakuletea historia fupi ya mwanamuziki rapa kutoka nchini Kenya King Kaka. Kumbuka pia kumfolow kwa instagram15/02/202419:55 -
Historia na tamaduni za watu wa kabila la wanyamwezi na msanii Miraculos Lop kutoka Burundi
Habari za asubuhi msikilizaji wa RFI Kiswahili na mpenzi wa Makala Changu Chako Chako changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni, le parler franxophone na Muziki ambapo leo nimekuandalia Historia na utamaduni wa watu wa kabila la Wanyamwezi, nitakuletea pia mwanamukuzi Miraculos kutoka nchini Burundi Mimi naitwa Ali Bilali mtangazaji asiependa makuu. Karibu ama bienvenue.03/02/202420:00 -
Kumbukumbu ya historia ya mwanaharakati mtetezi wa uhuru nchini DRC Emery Patrice Lumumba
Katika Makala haya, mwanahabari wako Ali Bilali anarejelea historia ya mwanaharakati mtetezi wa Uhuru wa DRC Emery Patrice Lumumba aliezaliwa Julay 2 1925 alifariki Januari 17 mwaka 1961.30/01/202419:58 -
Utamaduni wa watu wa kabila la wabembe na mwanamuziki Naza kutoka Ufaransa
Makala haya Changu chako Chako Changu, Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu amezungumza na Mzee Ebengela Saleh kuotka huko mashariki mwa DRC kuzungumzia kuhusu Historia na Tamaduni za watu wa Kabila la Wabembe. Utapata pia kumfahamu mwanamuziki kutoka Ufaransa mwenye asili ya DRC na Congo Brazaville Naza. Ambatana na mtangazaji wako na usikosi kumfollow kwa Instagram kwa kubonyeza hapa. @billy_bilali30/01/202419:59 -
Historia ya siku ya kuwakumbuka mashujaa nchini DRC na Mwanamuziki TayC
Katika Makala haya Ali Bilali anazungumzia kuhusu siku ya kuwambuka watu waliotoa mchango wao katika harakati za ukombozi ambapo kila januari 4 ni siku ya kuwakumbuka wapambanaji hao waliochangia katika ukombozi wa nchi30/01/202419:59 -
Utamaduni wa kupenda kujifunza lugha na msanii kutoka Burundi Mistachampagne
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na vijana wanafunzi na waalimu wa lugha ya kifaransa kuangazia utamaduni wa kujifunza lugha hususan lugha ya Kifaransa, wakati kwenye kipengele cha Muziki amempokea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Mistachampagne ambae anazuri jiji la Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki.28/01/202420:04
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.