RFI katika lugha 17
RFI inaongea na dunia katika Kiswahili lakini pia katika lugha zingine 16: Kifaransa, Kiingereza, Kireno, Kireno cha Brazil, Kikambodia, Kichina, Kichina cha jadi, Kihispania, Kihausa, Kimandenkan, Fulani, Kiajemi, Kirumi, Kirusi, Kiukreni na Kivietnam.