Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Jiwe la msingi kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni lawekwa na ukikamilika ndiyo litakuwa daraja refu zaidi Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Serikali ya Tanzania inaendelea na mkakati wake wa kuimarisha miundombinu katika miji mbalimbali ikiwemo Jiji la Dar Es Salaam ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameweka jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya kuanza mchakato wa ujenzi wa darala la Kigamboni ambalo linakuwa ni kubwa na refu zaidia katika nchi za Afrika Mashariki.

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kwenye daraja la Kigamboni ikiwa ishara ya kuanza kwa ujenzi
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kwenye daraja la Kigamboni ikiwa ishara ya kuanza kwa ujenzi
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.