Habari RFI-Ki
Rwanda na Uganda zabadilishana wafungwa zikilenga kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina yao
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Nchi za Rwanda na Uganda zimekubaliana kubadilishana wafungwa huku viongozi wa mataifa hayo wakitarajia kukutana katika mpaka wa Gatuna, ikiwa na hatua ya karibuni zaidi ya kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.