Jukwaa la Michezo
Cecafa inanuia kupeleka timu ya wanawake kombe la dunia
Imechapishwa:
Cheza - 20:54
Mashindano ya vyama vya soka kwa nchi za Afrika mashariki na kati yanafanyika nchini Tanzania ambapo RFI Kiswahili kupitia kipindi cha Jukwaa la Michezo imepata fursa ya kuzungumza na katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Musonye. Ungana na Fredrick Nwaka kwa undani zaidi