Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/02 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/02 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania

Na
Wadatoga na Wamasai wanajivunia Sanaa ya Uimbaji nchini Tanzania
 
Wanawake wa Kidatoga Picha/Chifu Longu

Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.

Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na kikundi cha WADACA kutoka Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania.

 • Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

  Ushairi umesaidia kukuza Fasihi

  Umuhimu wa Ushairi katika kukuza fasihi,Kutana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya sanaa.

 • Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

  Maudhui katika sanaa ya filamu nchini Kenya

  Serikali ya Kenya imeendelea kutilia mkazo suala la kukagua maudhui ya kazi za sanaa nchini humo kwa lengo la kuhakikisha kuwa, ujumbe wa filamu na muziki sio wa kupotosha. …

 • Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

  Koshuma; Sanaa ya Urembo inalipa zaidi ya Kuajiriwa

  Sanaa ya Urembo ni Sanaa nyingine inayokuwa kwa kasi miongoni mwa Vijana, Wasichana wanatumia fursa ya kuwaremba si Maharusi tu hivi sasa hata watu wa kawaida wanapenda …

 • Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

  Wamwiduka wakifanya Onesho Mtaani

  Bendi ya Muziki inayofanya Sanaa ya Muziki kwa kupiga mtaa kwa Mtaa wazungumzia namna walivyofanikiwa kuifanya sanaa hiyo kutokea mkoani Mbeya Nyanda za juu kusini mwa …

 • Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

  Ngumba; Uchoraji wa Picha Halisi unavutia Watalii

  Sanaa ya Uchoraji wa picha Halisi ni Sanaa nyingine inayopendwa nchini Tanzania, kutana na Mchoraji Agasto Ngumba akizungumzia Sanaa hiyo katiak Makala haya.

 • Kutana na Mchoraji wa Vibonzo 'Muhidin Msamba'

  Kutana na Mchoraji wa Vibonzo 'Muhidin Msamba'

  Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Mchoraji wa Vibonzo Muhidini Msamba kuhusu safari yake ya sanaa na Mapokeo ya sanaa hiyo kwa Ujumla.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana