Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imebaini katika ripoti yake kwamba "hali ya hofu" inatawala katika nchi hiyo, ikiwa imesalia miezi minane kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.Katika ripoti yake, Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi, iliyoundwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2016, inaelezea jinsi mamlaka nchini humo na vijana wa chama tawala, Imbonerakure, wanaendelea kuwafanyia vitisho raia kwa kuwalazimisha kujiunga, kuunga mkono au kuchangia chama tawala, CNDD-FDD.Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu
Vipindi vingine
-
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.23/04/202409:52 -
09:41
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57 -
09:31