Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Umoja wa Mataifa wasema kuna hali ya hofu nchini Burundi

Imechapishwa:

Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imebaini katika ripoti yake kwamba "hali ya hofu" inatawala katika nchi hiyo, ikiwa imesalia miezi minane kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.Katika ripoti yake, Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi, iliyoundwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2016, inaelezea jinsi mamlaka nchini humo na vijana wa chama tawala, Imbonerakure, wanaendelea kuwafanyia vitisho raia kwa kuwalazimisha kujiunga, kuunga mkono au kuchangia chama tawala, CNDD-FDD.Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Mji mkuu wa Burundi, Bujumbura
Mji mkuu wa Burundi, Bujumbura AFP
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:02
  • 09:47
  • 09:59
  • 09:35
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.