Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

WFP: Zaidi ya watu milioni sita wanakabiliwa nanjaa Sudani Kusini

media Wakimbizi wa ndani kutoka Sudan kusini wa kambi ya Bentiu wakipokea chakulakilichotolewa na Umoja wa Mataifa.Kusini mwa nchi, wakaazi wanakabiliwa na njaa, Juni 18, 2017. REUTERS/David Lewis

Shirika la Umoja wa mataifa la mpango wa Chakula Duniani,WFP, limetangaza kuwa zaidi ya watu milioni sita wa Sudan Kusini, wanakabiliwa na njaa.

Shirika hilo linasema waliokumbwa na njaa ni pamoja na watu wasio na makao na wananchi wa kawaida wanaoishi kwenye vijiji kote nchini Suda

Kwa upande mwengine Shirika la chakula duniani FAO linasema kuwa licha ya hatua ambazo zimeendelea kuchukuliwa na bara la Afrika kukabiliana na hali ya ukame, bado tatizo ni kubwa na linatishia ustawi wa maelfu ya raia.

Wajumbe wa mkutano wa FAO unaoendelea mjini Roma, Italia, wanakubaliana kuwa kasi zaidi inahitajika ili kukabiliana na tatizo la njaa na utapia mlo kwenye nchi za Afrika ikiwa zinataka kufikia malengo endelevu ya mwaka 2025 ya kuwa bara hilo limetokomeza njaa.

Wataalamu wanasema changamoto kubwa imekuwa ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo yameendela kusababisha madhara makubwa kwa bara hilo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana