Jua Haki Zako
Ripoti ya shirika la save the children kuhusu hali ya watoto
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaitazama kwa kina ripoti ya shirika la kimataifa la Save the Children iliyoangazia hali ya watoto duniani.