Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kwa kina kuhusu dhana ya utawala bora barani Afrika, kwanini viongozi wengi wa Afrika wanangangania kukaa madarakani hata baada ya muhula wao? Kwanini wanashuhudia utekelezaji wa vitendo vya unyanyasaji na ukatili dhidi ya raia wao? fuatilia makala haya.
Vipindi vingine
-
Mashirika ya misaada ya kibinadamu yakumbwa na uhaba wa fedha
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeonya kuwa mashirika ya misaada yanakabiliwa na uhaba wa fedha, na kwamba yanahitaji dola milioni 400 kufikia mwisho wa mwaka huu.19/12/202309:57 -
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kushinikiza serikali kutekeleza maamuzi ya mahakama
Mtandao wa Taasisi za Kitaifa za Haki za Kibinadamu za Kiafrika (NHRI)kwa ushirikiano na Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KNCHR) pamoja na Taasisi ya Sheria ya Kibinadamu na Haki za Kibinadamu ya Raoul Wallenberg iliyo na makao yake makuu nchini Sweden iliandaa warsha ya kutathmini miradi kuhusu mafunzo ya Haki za Kibinadamu barani Afrika na ufuatiliaji wa jinsi ya Kutekeleza mapendekezo ya Maamuzi.04/12/202310:05 -
Changamoto za wachimba madini ya dhahabu nchini Kenya
Mchakato wa kupata madini ya dhahabu huwa ni ngumu sana. Wengi ambao wanajihusisha na kazi hii wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutotumia vifaa bora vya kujikinga, kazi nzito na hatimaye huenda hata kuangamia iwapo maporomoko ya ardhi yanapotokea.George Ajowi amezuru Kaunti ya Migori, Magharibi mwa nchi ya Kenya. Ameandaa ripoti ifuatayo.17/08/202309:57 -
Watoto wanyanyaswa kigongo nchini DRC
Bunge la watoto wilayani Masisi Mashariki mwa DRC, linashutumu unyanyasaji unaofanyiwa watoto kwa kuhusishwa katika biashara ya ngono.05/07/202309:50 -
Hali ya haki za binadamu nchini Tanzania
Shirika la kimataifa la kutetea haki za bindamu Amnesty Internatonal limeeleza wasiwasi wake kuhusu namna serikali ya Tanzania inavyotumia nguvu kupita kiasi kufurusha jamii ya Maasai ambayo inaishi eneo la Ngorongoro na Loliondo.15/05/202309:51