Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Kenya: Kaunti zaidi ya kumi zakabiliwa na baa la njaa

media Wanawake wa Turkana wakisubiri msaada wa chakula, Kalok Tonyang, katika wilaya ya Turkana kaskazini magharibi mwa Nairobi tarehe 9 Agosti 2011. Reuters/Kabir Dhanji

Serikali ya Kenya inasema Kaunti zaidi ya 10 nchini humo zinakabiliwa na baa la njaa kwa sababu ya ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua.

Wakenya zaidi wameendelea kuathirika na baa la njaa haswa katika Kaunti zilizoko maeneo yenye ukame kama vile Turkana ambapo vifo kutokana na jinamizi hilo vimeripotiwa, kwa mujibu wa mashahidi.

Hata hivyo Naibu rais William Ruto amesema, serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na hali hiyo hasa katika Kaunti ya Turkana iliyoathiriwa zaidi, na kukanusha ripoti kuwa watu tisa wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Kwa upande wake Waziri Eugene Wamalwa amesisitiza kwamba Kenya ina chakula cha kutosha ambacho kitasambazwa katika maeneo yaliyoathirika.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana