Habari RFI-Ki
Mzozo baina ya Rwanda na Uganda waathiri shughuli za kiuchumi
Imechapishwa:
Cheza - 09:55
Mgogoro wa kidilpomasia baina ya Rwanda na Uganda umechukua sura mpya baada ya wafanyabiashara na wananchi wa Uganda kulalama kuzuiwa na maofisa wa Uganda kutumia mpaka wa Gatuna kwa shughuli za usafirishaji. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao