Habari RFI-Ki
Mvutano wa Wagombea Urais nchini Nigeria pamoja na Senegal waendelea kujitokeza
Imechapishwa:
Cheza - 10:01
Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Wasikilizaji kupata mitizamo yao baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria kutangaza matokeo ya awali huku Mgombea wa Upinzani PDP akipinga nako Nchini Senegal Mgombea wa chama Tawala ajitangaza Mshindi.