Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/11 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/11 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Harambee Stars yaanza Mazoezi kujiandaa na CHAN na AFCON

Na
Harambee Stars yaanza Mazoezi kujiandaa na CHAN na AFCON
 
Beki wa timu ya taifa ya soka ya Kenya, inayowajumuisha wachezaji wenye chini ya umri wa miaka 23, Johnstone Omurwa (katikati) kisherehekea bao la kwanza dhidi ya Mauritiusakiwa pamoja na Joseph Okumu na Chrispinus Onyango. Football Kenya Federation/twitter.com

Jumla ya wachezaji 17 kati ya wachezaji 25 wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee stars walifanya mazoezi yao ya kwanza siku ya Juamanne ya Februari 19 mwaka huu kujiandaa na mashindano ya taifa bingwa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN) na ile ya klabu Bingwa barani afrika (AFCON).

Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Jukwaa la Michezo na Fredrick Nwaka wakiangazia Michezo mbalimbali iliyochomoz`a kwa juma zima.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana