Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mwakyembe; Maandalizi ya Serengeti Boys kuelekea AFCON U17 yakamilika

Na
Mwakyembe; Maandalizi ya Serengeti Boys kuelekea AFCON U17 yakamilika
 
Ali Ngazi Mchezaji wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Uganda katika Michuano ya CECAFA Picha/Maktaba

Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na michezo nchini Tanzania amesema Maandalizi ya kikosi cha Vijana wenye Umri wa chini ya Miaka 17,Serengeti Boys kuelekea michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON U17, yamefikia hatua nzuri na tayari kikosi kipo kambini.

Ungana na Steven Mumbi pamoja na Fredrick Nwaka katika Mkala ya Jukwaa la Michezo wakichanganua michuano hiyo, Mchezo wa Simba na Yanga, Klabu ya Isamily kurejeshwa katika Michuano ya Klabu Bingwa miongoni mwa mengi utakayoyasiki.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana