Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Sisi Tambala Band wataka Vijana kujikita katika Muziki wa Asili

Na
Sisi Tambala Band wataka Vijana kujikita katika Muziki wa Asili
 
Ignus Kapyunka wa Sisi Tambala; akicharaza Gitaa la besi katika Onyesho la Band hiyo, Alliance Francais Dar es salaam Picha/World Press

Sisi Tambala Bendi ni Bendi ya Muziki wa Asili kutoka Tanzania, iliundwa mwaka 1997, tayari imefanya maonesho ya jukwaani katika Nchi Mbalimbali Duniani ikiwa ni pamoja na nchi za Ulaya, Asia na Afrika.

Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Kiongozi wa Bendi hiyo Nanjuja Nanjuja pamoja na wasanii wanaounda bendi hiyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakizungumzia Mfanikio yao kimuziki.

 

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana