Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Burundi yajiandaa kushiriki Mkutano wa 20 wa EAC Arusha

media Rais Pierre Nkurunziza hajashiriki mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukosewa kupinduliwa mamlakani. 2018. REUTERS/Evrard Ngendakumana

Burundi imethibitisha kushiriki katika mkutano wa 20 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, utakaofanyika mjini Arusha nchini Tanzania tarehe 1 mwezi Februari.

Mkutano huo uliahirishwa toka mwezi Novemba mwaka uliopita, baada ya Burundi kutotuma mwakilishi, ikidai kuwa ilisusia kwa sababu ya tufauti zake na jirani yake Rwanda.

Hata hivyo, msemaji wa rais Pierre Nkurunziza , Jean Claude KAREGWA sasa amesema nchi hiyo iko tayari kushiriki katika mkutano huo.

Mkataba uliounda jumuiya hiyo ambayo ina nchi sita, hauwezi kufanyika ikiwa nchi moja haitatuma mwakilishi wake katika mkutano mkuu.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana