Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Waziri wa Sudan Kusini akamatwa akivuta sigara hadharani Uganda

media Mji mkuu wa Uganda, Kampala.Tangu mwaka 2016, Uganda imekuwa ikitekeleza sheria ya kupiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani. REUTERS/James Akena/File Photo

Watu kumi na saba akiwemo Waziri kutoka Sudan Kusini wamekamatwa jijini Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa madai ya kuvuta sigara hadharani.

Polisi jijini Kampala wamethibitisha ukamatwaji huo, lakini wamemwachilia huru Waziri huyo wa nchi jirani ya Sudan Kusini.

Ripoti zinasema, hatapelekwa Mahakamani ili kuzuia mvutano wa kidiplomasia kati ya Kampala na Juba.

Tangu mwaka 2016, Uganda imekuwa ikitekeleza sheria ya kupiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana