Nyumba ya Sanaa
Mussa Ngarango Jr: Wachoraji wa Vibonzo wanatamani kuishi maisha bora zaidi ya Waliyonayo
Imechapishwa:
Cheza - 19:59
Uchoraji wa Vibonzo ni sanaa inayoshamiri kila kukicha,wachoraji wanalalama vitisho vinajitokeza katika vibonzo vinavyohusu siasa.Mussa Ngarango Jr ni Mchorajio wa Vibonzo anazungumzia sanaa hiyo katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa akiwa na Steven Mumbi.