Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/10 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/10 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Ras Innocent Nganyagwa; Narudi Upya Kimuziki

Na
Ras Innocent Nganyagwa; Narudi Upya Kimuziki
 
Ras Inno akiwa Jukwaani kutumbuiza katika moja ya Maonesho ya Muziki wa Reggae Ras Inno/Picha

Muziki wa Reggae Afrika ulianza kushamiri baada ya Uhuru wa Zimbabwe Mwaka 1980, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa za mwanzo kupata mapokeo ya Muziki huo.

Ras Innocent Nganyagwa ni Miongoni mwa wanamuziki waliochipuka katika kizazi cha tatu cha Muziki huo kutoka Tanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumzia na Ras Inno kuhusu ujio Wake Mpya katika Sanaa hiyo.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana