sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/06 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Khawar Qureshi kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri Kenya

media Maafisa kadhaa wa serikali waendelea kushikiliwa nchini Kenya kwa madia ya rushwa. REUTERS/Baz Ratner

Ofisi ya mwendesha mashtaka nchini Kenya, imemteua Wakili maarufu nchini Uingereza Khawar Qureshi, kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri nchini humo.

Wakili huyo anatarajiwa kuiwakilisha serikali, katika kesi hizo nzit ambazo zinawahusisha, wanasiasa, wafanyibiashara na Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu Mwilu, aliyekamatwa mwezi Agosti kwa madai ya ufisadi.

Rais Uhuru Kenyatta amekuwa akisema, anataka kukumbukwa kwa kupambana na ufisadi na kuliunganisha taifa hilo atakapoondoka madarakani mwaka 2022.

Maafisa kadhaa serikalini wamezuiliwa, huku wengine wakiendelea kuchunguzwa kufuatia kashfa hiyo ya rushwa ambayo imekuwa sugu katika nchi nyingi barani Afrika.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana