Pata taarifa kuu
CAR-UN-ANTI-BALAKA-UHALIFU

Umoja wa mataifa wakiri kushindwa kudhibiti mapigano CAR

Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati jana Ijumaa alikiri "kushindwa kwa ujumbe anao uongoza ,kuzuia mashambulizi baada ya takribani watu 60 kuuawa katikati ya nchi hiyo iliyoharibiwa na vurugu.

MINUSCA wakiwa katika shughuli za kulinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati
MINUSCA wakiwa katika shughuli za kulinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati FLORENT VERGNES / AFP
Matangazo ya kibiashara

Kufuatia mapigano kati ya wanamgambo wa kikristo na waislam katika mji wa katikati mwa nchi wa Alindao,Parfait Onanga-Anyanga amesema wanafanya jitihada zote za kuzuia kuzuka kwa ukatili wa namna hiyo lakini wunaona kuwa juhudi hizo hazitoshi.

Ripoti ya ndani ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa idadi ya watu waliopoteza maisha ni takribani 60 baada ya makabiliano kati ya wanamgambo wa Kikristo, wanaojulikana kama Anti Balaka, na kundi la Muungano wa Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati UPC.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.