Nyumba ya Sanaa
Fred Halla;Kutofanikiwa kwa Wachoraji kumechangia Sanaa hii Kudorora
Imechapishwa:
Cheza - 19:57
Mchoraji Fred Halla anasema kama kungekuwepo watu waliofanikiwa katika Sanaa hii ingekuwa rahisi wazazi kuwahamasisha watoto wao kuipenda sanaa na Uchoraji,hali ilivyo sasa Uchoraji imekua ni sanaa ya ziada licha ya vipaji kuwepo.Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mchoraji Fred Halla.