Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mjadala wa kura ya maoni nchini Kenya, kuibadilisha Katiba

Imechapishwa:

Mjadala wa kuwepo kwa kura ya maoni nchini Kenya ili kuibadilisha Katiba nchini Kenya, umeanza kupamba moto. Lengo ni kubadilisha mfumo wa uongozi, na kuwepo kwa Waziri Mkuu ili kuleta mshikamano wa taifa kila baada ya Uchaguzi Mkuu.

Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki, akizindua Katiba mwaka 2010
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki, akizindua Katiba mwaka 2010 femnet.wordpress.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.