sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mwelekeo wa soka la vijana Afrika Mashariki na kati baada ya kutamatika kwa michuano ya kufuzu fainali za Afrika Jijini Dar es salaam

Na
Mwelekeo wa soka la vijana Afrika Mashariki na kati baada ya kutamatika kwa michuano ya kufuzu fainali za Afrika Jijini Dar es salaam
 
Wachezaji wa Timu ya Vijana ya Uganda wakishangilia baada ya kufuzu kucheza fainali za Afrika, zitakazofanyika mwakani nchini tanzania Twitter/Fufa

Michuano ya kufuzu fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17, kanda ya Afrika Mashariki na Kati zimefikia tamati Jijini Dar es salaam, Tanzania kwa Uganda kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ethiopia na kuungana na Tanzania kucheza fainali zitakazochezwa mwaka 2019 nchini Tanzania.

Je uamuzi wa kuchezwa mechi za mchujo katika kanda ulikuwa sahihi na nini hatima ya soka la vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samuel John na Ali Saleh kutathimini kwa kina.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • SOKA-CECAFA-CAF-FIFA-AFCON

  Serengeti Boys yanyakua ushindi wa tatu michuano ya kufuzu Afcon, kanda ya Cecafa

  Soma zaidi

 • CAF-CECAFA-SOKA

  Ukanda wa CECAFA watafuta mwakilishi mashindano ya Afrika kwa vijana mwaka 2019

  Soma zaidi

 • RWANDA-UGANDA-CECAFA-SOKA

  Rwanda na Uganda zatoka sare ya 2-2 katika michuano baina ya CECAFA

  Soma zaidi

 • CECAFA-KOMBE LA KAGAME-GOR MAHIA

  Gor Mahia yafungiwa miaka miwili kushiriki michuano ya Cecafa

  Soma zaidi

 • KOMBE LA KAGAME-CECAFA-SOKA

  Fainali ya CECAFA, Simba na Azam za Tanzania kutafuta kombe

  Soma zaidi

 • CECAFA-KOMBE LA KAGAME-SIMBASC

  Musonye awashutumu viongozi wa Cecafa kwa kuua soka

  Soma zaidi

 • CECAFA-AHMAD AHMAD-CAF

  Rais wa CAF kushuhudia fainali ya Cecafa kwa vijana, nchini Burundi

  Soma zaidi

 • CECAFA-ZANZIBAR-ETHIOPIA-SOKA

  CECAFA yazichukulia hatua kali Zanzibar na Ethiopia

  Soma zaidi

 • CECAFA 2017

  Kenya yailemea Zanzibar na kushinda fainali ya CECAFA 2017

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana