Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Sudani kusini na harakati za kutekeleza mkataba wa amani

Imechapishwa:

Serikali ya Sudani Kusini imeanza kutekeleza makubaliano ya mkataba wa amani kwa kuwaachilia huru wafungwa na kuunganisha makundi hasimu ya kijeshi. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu, kupata maoni yao kuhusu ya hatua hii.

Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Dr. riek Machar baada ya kutia saini makubaliano ya amani Mjini Khartoum nchini Sudani.
Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Dr. riek Machar baada ya kutia saini makubaliano ya amani Mjini Khartoum nchini Sudani. Kenya Presidential Press Service/Handout via REUTERS
Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:02
  • 09:47
  • 09:59
  • 09:35
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.