Jua Haki Zako
Kupatana kwa nchi za Ethiopia na Eritrea je kuleta uheshimuji wa haki za binadamu
Imechapishwa:
Cheza - 09:14
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa Ethiopia na Eritrea ambapo wametangaza kusitisha vita baina ya nchi zao mbili na kurejesha uhusiano wa kawaida.swali ni je kutaleta ahueni ya haki za binadamu kwa wananchi wa mataifa yote mawili?