sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mazungumzo ya amani kuanza Sudan, rais …
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake rais wa Tanzania John Magufuli. 13 Juni 2019
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/06 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kenya yapeleka vita vya ufisadi nje ya mipaka ya nchi yake

Kenya yapeleka vita vya ufisadi nje ya mipaka ya nchi yake
 
Rsis wa Kenya Uhuru Kenyatta Service de presse de la présidence kényane

Kenya imepeleka vita dhidi ya ufisadi nje ya mipaka ya nchi hiyo, baada ya kutia saini mkataba na serikali ya Uswisi, ili kusaidia kurejeshwa nyumbani Mabilioni ya Dola, fedha za umma, zilizoibiwa na watu mbalimbali na kufichwa katika Benki za Uswisi.

Mkataba kama huu pia, hivi karibuni ulisainiwa nchini Nigeria na kuisaidia nchini hiyo kupata Dola Bilioni 1.2, fedha za umma zilizokuwa zimeibiwa.

Unafikiri njia hii inasaidia vipi mafanikio ya kupambana na ufisadi kwa mataifa ya Afrika ?


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KENYA-UFISADI-UCHUMI

  Kenya imeanza kuwakamata viongozi wanaojihusisha na ufisadi

  Soma zaidi

 • KENYA-UFISADI-WANANCHI

  Ufisadi unavyowatesa Wakenya

  Soma zaidi

 • KENYA-UFISADI-UCHUMI

  Washukiwa 54 wa ufisadi kufikishwa mahakamani Kenya

  Soma zaidi

 • KENYA-UFISADI-UHURU KENYATTA

  Washukiwa wa ufisadi wakamatwa nchini Kenya

  Soma zaidi

 • KENYA-UFISADI-UCHUMI

  Vita dhidi ya ufisadi yaendelea Kenya

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana