Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Riek Machar kurejeshwa kama Makamu wa kwanza wa rais

Imechapishwa:

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar, anatarajiwa kurejea katika nafasi yake ya awali ya Makamu wa kwanza wa rais, baada ya mazungumzo ya hivi karibuni kufanyika katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda. Je, amani ya kudumu inarejea nchini Sudan Kusini kwa hatua hii ?

Kiongozi wa waasi  Riek Machar
Kiongozi wa waasi Riek Machar ASHRAF SHAZLY / AFP
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.