Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kodi kukatwa kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii Uganda

Imechapishwa:

Wanaharakati nchini Uganda wamekwenda katika Mahakama ya Kikatiba, kupinga utekelezwaji wa sheria inayowatuza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo.Sheria hiyo ilianza kutekelezwa tarehe 1 mwezi huu ambayo watumiaji wa mitandao hiyo, walianza kulipia Shilingi 200 kwa siku.Wanaharakati hao wakiongozwa na Mawakili wanne ambao ni vijana, wanaitaka Mahakama kuamua kuwa sheria hiyo ni kinyume cha Katiba na inakiuka haki za binadamu.

Raisi wa Uganda Yoweri Museven
Raisi wa Uganda Yoweri Museven GAEL GRILHOT / AFP
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.