Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

AU kuwashughulikia Salva Kiir na Rieck Machar

Imechapishwa:

Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika Mousa Faki, anataka hatua kuchuliwa dhidi ya viongozi wa juu wa Sudan Kusini wanaosababisha kuvunjika kwa mkataba wa amani.Kauli ya Faki, imekuja baada ya waasi nchini Sudan Kusini kuishtumu serikali kuvunja mkataba wa kusitisha mapigano ambao ulianza kutekelezwa siku ya Jumamosi..Unazungumziaje hatua hii?

Raisi wa Sudan Kusini Salva Kiir akisalimiana na kiongozi wa waasi Rieck Machar
Raisi wa Sudan Kusini Salva Kiir akisalimiana na kiongozi wa waasi Rieck Machar Presidential Press Service/Handout via REUTERS
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.