Habari RFI-Ki
Umoja wa Mataifa walishtumu kundi la Imbonerakure nchini Burundi kuwauwa wapinzani
Imechapishwa:
Cheza - 09:06
Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa, imelishtumu (Imbonerakure), kundi la vijana ndani ya chama tawala nchini Burundi CNDD FDD, kuhusika katika visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu kama mauaji, utekaji na kuwatesa wapinzani wakati wa kipindi cha kampeni ya kura ya maoni mwezi Mei. Serikali ya Burundi imekuwa ikikanusha ripoti kama hizi na kusema ni za uongo.