Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais Kiir na Machar watia saini mkataba wa kusitisha vita

Imechapishwa:

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na hasimu wake ambaye ni kiongozi wa waasi Riek Machar, wametia saini mkataba wa kusitisha vita kabisa katika nchi yao kwa muda wa saa 72 zijazo. Viongozi hao wamekuwa wakikutana jijini Khartoum nchini Sudan. Je, unaamini kuwa wakati huu mkataba huu utaheshimiwa na amani ya kudumu itarejea nchini Sudan Kusini ?

Rais wa Sudan Kusini  Salva Kiir (Kushoto), na mpinzani wake  Riek Machar (Kulia) wakiinua mikono juu baada ya kutoa saini mkataba wa amani Juni 27 2018 jijini Khartoum nchini Sudan
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (Kushoto), na mpinzani wake Riek Machar (Kulia) wakiinua mikono juu baada ya kutoa saini mkataba wa amani Juni 27 2018 jijini Khartoum nchini Sudan REUTERS/Mohamed Nureldin Abdallah
Vipindi vingine
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.