Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na hasimu wake ambaye ni kiongozi wa waasi Riek Machar, wametia saini mkataba wa kusitisha vita kabisa katika nchi yao kwa muda wa saa 72 zijazo. Viongozi hao wamekuwa wakikutana jijini Khartoum nchini Sudan. Je, unaamini kuwa wakati huu mkataba huu utaheshimiwa na amani ya kudumu itarejea nchini Sudan Kusini ?
Vipindi vingine
-
09:41
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57 -
09:31
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake20/03/202410:08