Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kura ya maoni yafanyika Burundi

Imechapishwa:

Warundi walijitokeza kuipigia kura marekebisho ya Katiba Alhamisi wiki hii (Mei 17) ambayo kwa hali yoyote itamruhusu Rais Pierre Nkurunziza kusalia madarakani akiwa na mamlaka kamili hadi mwaka 2034.

Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba yafanyika nchini Burundi
Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba yafanyika nchini Burundi STR / AFP
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.