Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
E.A.C

Mvua zinazonyesha zaua watu 18 Rwanda

media Wanawake hawa wakifanya shughuli yao ya kilimo magharibi mwa Rwanda, Lakini wakulima wengi wamesema mvua zimeharibu mashamba yao. RFI/Stéphanie Aglietti

Mvua kubwa imeendelea kunyesha katika mataufa ya Afrika Mashariki na Kati. Nchini Rwanda watu kumi na wanane wamepoteza maisha wiki hii, baada ya kusumbwa na maji.

Mbali na maaafa hayo, makaazi ya watu yameharibika hasa wale wanaoishi katika maeneo ya milima.

Nchini Kenya, hali imekuwa vivyo hivyo baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha kusababisha madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na baadhi ya mitaa ya jiji kuu Nairobi kama Buruburu kujaa maji.

Nchini Burundi, hasa katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, maeneo ya Maramvya, Carama na maeneo ya mabondeni ndio yameathrika zaidi na mvua hizo zinazoendelea kunyesha.

Wakulima kwa upande wao wanasema kuwa hawaamini kuwa msimu huu watapata mavuno ya kutosha.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana