Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hatua kali zapendekezwa kuchukuliwa dhidi ya wahadhiri wanaowanyanyasa kimapenzi wanawake vyuoni

Imechapishwa:

Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda kimekumbwa na kashfa ya Wahadhiri na wafanyikazi wa Chuo hicho kuwanyanyasa kimapenzi wanafunzi wa kike ili kupata huduma mbalimbali ikiwemo matokeo ya mithani mbalimbali. Hii ni tabia ambayo pia imekithiri katika Vyuo vingine Afrika Mashariki na Kati.Unafikiri suala hili linaweza kutatuliwa vipi ili kuepusha unyanaysaji huu?

Wanafunzi nchini Uganda
Wanafunzi nchini Uganda Kimberly Burns, USAID/CC/Pixnio
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.