Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tume ya Uchaguzi Kenya yakumbwa na kizungumkuti

Imechapishwa:

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC kwa sasa haiwezi kuendelea na shughuli zozote baada ya kujiuzulu kwa Makamishna watatu siku ya Jumatatu wiki hii.Makamishna hao wakiongozwa na Naibu Mwenyekiti Connie Maina , Paul Kurgat na Margaret Mwachanya, walisema walichukua hatua hiyo kwa kile walichosema Mwenyekiti Wafula Chebukati ameshindwa kuongoza Tume hiyo.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya  Wafula Chebukati
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya Wafula Chebukati REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.