Habari RFI-Ki
Jitihada za AU kusuluhisha mzozo wa Sudani kusini matatani
Imechapishwa:
Cheza - 10:24
Baraza la amani na Usalama la Umoja wa Afrika limekuwa jijini Juba nchini Sudan Kusini na kukutana na Baraza la Mawaziri kuelekea awamu nyingine ya mazungumzo ya amani tarehe 26 mwezi huu.Wasikilizaji watathimini jitihada hizi...