Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya utawala bora na viongozi kukaa madarakani kwa muda mrefu

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia masuala ya demokrasia na utawala bora barani Afrika, changamoto ya viongozi wengi kukaa madarakani kwa muda mrefu na kusababisha huduma duni kwa wananchi.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, moja ya viongozi wa Afrika waliokaa madarakani muda mrefu
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, moja ya viongozi wa Afrika waliokaa madarakani muda mrefu REUTERS/Hannah McKay
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.